Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

Tamko la UmojawawanazuoniwaAfrikakuhusuuaduiwaserikaliyakimabavukatikaMsikitimtukufuwa Aqsa nakuufunga
SifazotenjemanizaMolaaliyempelekamcha wake usikukutokamsikitimtukufuwaMakkampakamsikitimtukufuwa Aqsa. Na rehemanaamanizimshukiemtumewamwishomtukufuwaIsraanamirajimtumewetu Muhammad pamojanajamaazakenamaswahabazakewote; amabaadayahayo:
KwahakikaUmojawawanazuoniwaAfrikaumefuatiliakwamakinipamojanaWaislamuwengineulimwenguniuaduiunaofanywanaserikaliyakimabavuya Israeli nabadoinafanyakatikaMsikitiMtukufuwa Aqsa kibla cha kwanza; ambaoumefikiakiwango cha kuufungamsikitiwasiingiewenyekuswalisikuyaijumanakuwapigawanaokujakuswalimsikitiniakiwemo Imam nahatibuwaMsikitiwa Aqsa Sheikh IkrimaSwabri, Molaamuhifadhi.
Kwa mtazamowaheshimayahuumsikitikatikanyoyozaWaisilamaukwahakika sis katikaUmojawawanazuoniwaAfrikatonatangazieUlimwengukwambatulaaninakukataanakupingakitendohikikibayamnonatunasajilihiimisimamokwajina la ummawakiislamubaraniAfrika:
a) WitowakuelimishawatukuhusumaswalayaPalestinakwaujumlanaMsikitiwa Aqsa kwamahsusikupitiamasomoyashulenekatikaviwangovyotevyamasomonakupitiavyombovyahabaritofautiilikwaelimishawaislamubaraniAfrikakwaswalahili.
b) Kuungananawalisimamakidetiwaumekwa wake katikaMsikitiwa Aqsa kwajuhudizaozakuulindautukufuwaMsikitihuo- kulinganauwezowako- nakuwajulishaWaislamumipangilioyakijinaidhidiyaMsikitihuo.
c) Kuzungumziamaudhuiya Aqsa naPalestinakatikahutubazaIjumaabaraniAfrikakatikamajumamatatuilikuwaelimishawatuwotesalahilinakufanyaduanakusomaqunutiliMsikitierejishwekatikamiknoyawaislamu.
d) Mwitokwaserekalizanchizakiislamu, nchinamashirikayanaonusuriwaliodhulimiwailiwafanyewajibuwaowakidiniwakibinadamukatikaswalahilikwaajiliyauadilifu and kurejeshahakikwamwenyehaki; nakuwasidiawatuwaPalestinailiwapateuhuruwaonaardhiyao.
KatibuMkuuRaisiwaUmojawaWanazuoniAfrika
Katibu Mkuu wa Muungano                                                                                Raisi wa Mungano
Dr Seydou Mouhammad Baba Sylla                                                         Dr Seydou Burhan Dine Abdoullah

Laisser un commentaire

Votre adresse de messagerie ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *