MWITO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH 2022 AD.

Ecrit par & déposé en vertu de Habari.

MWITO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH 2022 AD MWITO WA KUONDOSHWA VIKWAZO DHIDI YA NCHI YA MALI; NA MAPATANO YA KUSITISHA MAPIGANO NA KUFANYIANA UADUI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH / 2022 AD, HASA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA AFRIKA YA KUSINI JANGWA LA SAHARA. more…

MWITO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH 2022 AD

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

18/8/1443 AH / 3/21/2022 AD MWITO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH 2022 AD   MWITO WA KUONDOSHWA VIKWAZO DHIDI YA NCHI YA MALI; NA MAPATANO YA KUSITISHA MAPIGANO NA KUFANYIANA UADUI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH / 2022 AD, HASA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA AFRIKA YA KUSINI JANGWA LA SAHARA…. Read more »

TAMKO NAMBA 27, TAREHE 2/10/1442AH SAWA NA TAREHE 13/5/2021

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

TAMKO NAMBA 27, TAREHE 2/10/1442AH SAWA NA TAREHE 13/5/2021   TAMKO LA UMOJA WA WANAVYUONI WA AFRIKA KUHUSU HALI ILIVYO KATIKA MSIKITI MTUKUFU WA AQSA NA PALESTINA KWA JUMLA KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU, MWINGI WA REHEMA, MWENYE KUREHEMU   Wa kuhimidiwa ni Allah Mola Mlezi wa viumbe vyote, na rehema na amani zimshukie Mtume… Read more »

TAMKO LA JUMUIYA YA WANAVYUONI WA AFRIKA LINALO TOA WITO WA KUKATAZA KUTUMIA NENO “MUJAHIDINA” KWA MAKUNDI YANAYO BEBA SILAHA

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

TAMKO NAMBARI 24    Tarehe 30/3/1441 Hijiria 28 /11/2019 Miladia TAMKO LA JUMUIYA YA WANAVYUONI WA AFRIKA LINALO TOA WITO WA KUKATAZA KUTUMIA NENO “MUJAHIDINA” KWA MAKUNDI YANAYO BEBA SILAHA Himdi zote ni za Allah. Swala na salamu zimuendee Nabii wa uongofu na wa rehema, Muhammad Bin Abdallah pamoja na Swahaba zake. Baada ya utangulizi:… Read more »