TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU WA AFRIKA LA KULAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI LA NAIROBI

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

Tamko Na.: 22                                                                      Tarehe: 13/05/1440= 19/01/2019 TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU WA AFRIKA LA KULAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI LA NAIROBI KWA JINA LA ALLAH MWINGI WA REHEMA, MWENYE KUREHEMU Shukurani anazistahiki Allah Mola wa viumbe, na rehema na amani zimfikie Mtume wake Muhammad Bin Abdallah, Familia yake na Swahaba wake wote. Umoja… Read more »

RIPOTI KAMILI KUHUSU KONGAMANO LA PILI

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

MUUNGANO WA WANAVYUONI WAAFRIKA MCHAKATO WA MUHULA WA PILI WA MIAKA MITANO. Kongamano la utukufu wa wakati na mahala, la awamu ya pili la Muungano wa Wanavyuoni Waafrika katika mji mtakatifu wa Makka liliofanywa kwa mda wa siku mbili ndani ya  mwezi wa Dhi-hijja tarehe 3 na 4 1439H ikiafikiana na natarehe 14-15 Agosti 2018…. Read more »

TAARIFA N° 21

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

Tamko la Muungano wa wanazuoni wa Afrika kuhusu Uamuzi wa Rais wa Merikani Donald Truph kuhamishia ubalozi wa Merikani Jijini Jerusalemu. Sifa zote njema ni za Allah Mola wa viumbe vyote and rehema na amani zimfike bwana Mtume wa Allah na ahli zake na maswahaba wake wote; baada ya hayo: Anasema Allah Mtukufu aliye tukuza… Read more »

TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA AFRIKA KATIKA KULAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI WAGADUGU

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

Tamko Nambari: 18 Tarehe 22/11/1438 sawa na tarehe: 14/8/2017 TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA AFRIKA KATIKA KULAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI WAGADUGU Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote. Na rehema na amani zimfikie Mtume wake Muhammad Bin Abdillah. Ama… Read more »

Ecrit par & déposé en vertu de Taarifa.

TAARIFA N° 17

Tamko la UmojawawanazuoniwaAfrikakuhusuuaduiwaserikaliyakimabavukatikaMsikitimtukufuwa Aqsa nakuufunga

Ecrit par & déposé en vertu de غير مصنف.

Tamko la UmojawawanazuoniwaAfrikakuhusuuaduiwaserikaliyakimabavukatikaMsikitimtukufuwa Aqsa nakuufunga SifazotenjemanizaMolaaliyempelekamcha wake usikukutokamsikitimtukufuwaMakkampakamsikitimtukufuwa Aqsa. Na rehemanaamanizimshukiemtumewamwishomtukufuwaIsraanamirajimtumewetu Muhammad pamojanajamaazakenamaswahabazakewote; amabaadayahayo: KwahakikaUmojawawanazuoniwaAfrikaumefuatiliakwamakinipamojanaWaislamuwengineulimwenguniuaduiunaofanywanaserikaliyakimabavuya Israeli nabadoinafanyakatikaMsikitiMtukufuwa Aqsa kibla cha kwanza; ambaoumefikiakiwango cha kuufungamsikitiwasiingiewenyekuswalisikuyaijumanakuwapigawanaokujakuswalimsikitiniakiwemo Imam nahatibuwaMsikitiwa Aqsa Sheikh IkrimaSwabri, Molaamuhifadhi. Kwa mtazamowaheshimayahuumsikitikatikanyoyozaWaisilamaukwahakika sis katikaUmojawawanazuoniwaAfrikatonatangazieUlimwengukwambatulaaninakukataanakupingakitendohikikibayamnonatunasajilihiimisimamokwajina la ummawakiislamubaraniAfrika: a) WitowakuelimishawatukuhusumaswalayaPalestinakwaujumlanaMsikitiwa Aqsa kwamahsusikupitiamasomoyashulenekatikaviwangovyotevyamasomonakupitiavyombovyahabaritofautiilikwaelimishawaislamubaraniAfrikakwaswalahili. b) Kuungananawalisimamakidetiwaumekwa wake katikaMsikitiwa Aqsa kwajuhudizaozakuulindautukufuwaMsikitihuo- kulinganauwezowako- nakuwajulishaWaislamumipangilioyakijinaidhidiyaMsikitihuo. c) Kuzungumziamaudhuiya Aqsa naPalestinakatikahutubazaIjumaabaraniAfrikakatikamajumamatatuilikuwaelimishawatuwotesalahilinakufanyaduanakusomaqunutiliMsikitierejishwekatikamiknoyawaislamu. d) Mwitokwaserekalizanchizakiislamu, nchinamashirikayanaonusuriwaliodhulimiwailiwafanyewajibuwaowakidiniwakibinadamukatikaswalahilikwaajiliyauadilifu… Read more »