WITO WA AMANI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN 1440/2019
Ecrit par: admin
WITO WA AMANI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN 1440/2019
WITO WA AMANI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN 1440/2019 Wito wa amani – Kusitisha aina zote za vita wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan 1440 AH / 2019 Kwa jina la Allah mwingi wa rehema mwenye kurehemu. Sifa njema zote ni za Allah na sala na amani ziwe juu ya Nabii wa huruma Muhammad bin… Read more »
TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU WA AFRIKA LA KULAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI LA NAIROBI
Tamko Na.: 22
TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU WA AFRIKA LA KULAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI LA NAIROBI
Tamko Na.: 22 Tarehe: 13/05/1440= 19/01/2019 TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU WA AFRIKA LA KULAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI LA NAIROBI KWA JINA LA ALLAH MWINGI WA REHEMA, MWENYE KUREHEMU Shukurani anazistahiki Allah Mola wa viumbe, na rehema na amani zimfikie Mtume wake Muhammad Bin Abdallah, Familia yake na Swahaba wake wote. Umoja… Read more »
RIPOTI KAMILI KUHUSU KONGAMANO LA PILI
RIPOTI KAMILI KUHUSU KONGAMANO LA PILI MUUNGANO WA WANAVYUONI WAAFRIKA MCHAKATO WA MUHULA WA PILI WA MIAKA MITANO…
RIPOTI KAMILI KUHUSU KONGAMANO LA PILI
MUUNGANO WA WANAVYUONI WAAFRIKA MCHAKATO WA MUHULA WA PILI WA MIAKA MITANO. Kongamano la utukufu wa wakati na mahala, la awamu ya pili la Muungano wa Wanavyuoni Waafrika katika mji mtakatifu wa Makka liliofanywa kwa mda wa siku mbili ndani ya mwezi wa Dhi-hijja tarehe 3 na 4 1439H ikiafikiana na natarehe 14-15 Agosti 2018…. Read more »
TAARIFA N° 21
TAARIFA N° 21
TAARIFA N° 21
Tamko la Muungano wa wanazuoni wa Afrika kuhusu Uamuzi wa Rais wa Merikani Donald Truph kuhamishia ubalozi wa Merikani Jijini Jerusalemu. Sifa zote njema ni za Allah Mola wa viumbe vyote and rehema na amani zimfike bwana Mtume wa Allah na ahli zake na maswahaba wake wote; baada ya hayo: Anasema Allah Mtukufu aliye tukuza… Read more »
Tamko Nambari: 18
Tamko Nambari: 18
TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA AFRIKA KATIKA KULAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI WAGADUGU
Tamko Nambari: 18 Tarehe 22/11/1438 sawa na tarehe: 14/8/2017 TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA AFRIKA KATIKA KULAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI WAGADUGU Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote. Na rehema na amani zimfikie Mtume wake Muhammad Bin Abdillah. Ama… Read more »
