18/8/1443 AH / 3/21/2022 AD MWITO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH 2022 AD MWITO WA KUONDOSHWA VIKWAZO DHIDI YA NCHI YA MALI; NA MAPATANO YA KUSITISHA MAPIGANO NA KUFANYIANA UADUI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 1443 AH / 2022 AD, HASA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA AFRIKA YA KUSINI JANGWA LA SAHARA…. Read more »
Articles catégorisés: غير مصنف
TAMKO NAMBA 27, TAREHE 2/10/1442AH SAWA NA TAREHE 13/5/2021
TAMKO NAMBA 27, TAREHE 2/10/1442AH SAWA NA TAREHE 13/5/2021 TAMKO LA UMOJA WA WANAVYUONI WA AFRIKA KUHUSU HALI ILIVYO KATIKA MSIKITI MTUKUFU WA AQSA NA PALESTINA KWA JUMLA KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU, MWINGI WA REHEMA, MWENYE KUREHEMU Wa kuhimidiwa ni Allah Mola Mlezi wa viumbe vyote, na rehema na amani zimshukie Mtume… Read more »
TAMKO LA JUMUIYA YA WANAVYUONI WA AFRIKA LINALO TOA WITO WA KUKATAZA KUTUMIA NENO “MUJAHIDINA” KWA MAKUNDI YANAYO BEBA SILAHA
TAMKO NAMBARI 24 Tarehe 30/3/1441 Hijiria 28 /11/2019 Miladia TAMKO LA JUMUIYA YA WANAVYUONI WA AFRIKA LINALO TOA WITO WA KUKATAZA KUTUMIA NENO “MUJAHIDINA” KWA MAKUNDI YANAYO BEBA SILAHA Himdi zote ni za Allah. Swala na salamu zimuendee Nabii wa uongofu na wa rehema, Muhammad Bin Abdallah pamoja na Swahaba zake. Baada ya utangulizi:… Read more »
WITO WA AMANI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN 1440/2019
WITO WA AMANI KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN 1440/2019 Wito wa amani – Kusitisha aina zote za vita wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan 1440 AH / 2019 Kwa jina la Allah mwingi wa rehema mwenye kurehemu. Sifa njema zote ni za Allah na sala na amani ziwe juu ya Nabii wa huruma Muhammad bin… Read more »
TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU WA AFRIKA LA KULAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI LA NAIROBI
Tamko Na.: 22 Tarehe: 13/05/1440= 19/01/2019 TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU WA AFRIKA LA KULAANI SHAMBULIZI LA KIGAIDI LA NAIROBI KWA JINA LA ALLAH MWINGI WA REHEMA, MWENYE KUREHEMU Shukurani anazistahiki Allah Mola wa viumbe, na rehema na amani zimfikie Mtume wake Muhammad Bin Abdallah, Familia yake na Swahaba wake wote. Umoja… Read more »
RIPOTI KAMILI KUHUSU KONGAMANO LA PILI
MUUNGANO WA WANAVYUONI WAAFRIKA MCHAKATO WA MUHULA WA PILI WA MIAKA MITANO. Kongamano la utukufu wa wakati na mahala, la awamu ya pili la Muungano wa Wanavyuoni Waafrika katika mji mtakatifu wa Makka liliofanywa kwa mda wa siku mbili ndani ya mwezi wa Dhi-hijja tarehe 3 na 4 1439H ikiafikiana na natarehe 14-15 Agosti 2018…. Read more »
TAARIFA N° 21
Tamko la Muungano wa wanazuoni wa Afrika kuhusu Uamuzi wa Rais wa Merikani Donald Truph kuhamishia ubalozi wa Merikani Jijini Jerusalemu. Sifa zote njema ni za Allah Mola wa viumbe vyote and rehema na amani zimfike bwana Mtume wa Allah na ahli zake na maswahaba wake wote; baada ya hayo: Anasema Allah Mtukufu aliye tukuza… Read more »
TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA AFRIKA KATIKA KULAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI WAGADUGU
Tamko Nambari: 18 Tarehe 22/11/1438 sawa na tarehe: 14/8/2017 TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA AFRIKA KATIKA KULAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI WAGADUGU Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote. Na rehema na amani zimfikie Mtume wake Muhammad Bin Abdillah. Ama… Read more »
Tamko la UmojawawanazuoniwaAfrikakuhusuuaduiwaserikaliyakimabavukatikaMsikitimtukufuwa Aqsa nakuufunga
Tamko la UmojawawanazuoniwaAfrikakuhusuuaduiwaserikaliyakimabavukatikaMsikitimtukufuwa Aqsa nakuufunga SifazotenjemanizaMolaaliyempelekamcha wake usikukutokamsikitimtukufuwaMakkampakamsikitimtukufuwa Aqsa. Na rehemanaamanizimshukiemtumewamwishomtukufuwaIsraanamirajimtumewetu Muhammad pamojanajamaazakenamaswahabazakewote; amabaadayahayo: KwahakikaUmojawawanazuoniwaAfrikaumefuatiliakwamakinipamojanaWaislamuwengineulimwenguniuaduiunaofanywanaserikaliyakimabavuya Israeli nabadoinafanyakatikaMsikitiMtukufuwa Aqsa kibla cha kwanza; ambaoumefikiakiwango cha kuufungamsikitiwasiingiewenyekuswalisikuyaijumanakuwapigawanaokujakuswalimsikitiniakiwemo Imam nahatibuwaMsikitiwa Aqsa Sheikh IkrimaSwabri, Molaamuhifadhi. Kwa mtazamowaheshimayahuumsikitikatikanyoyozaWaisilamaukwahakika sis katikaUmojawawanazuoniwaAfrikatonatangazieUlimwengukwambatulaaninakukataanakupingakitendohikikibayamnonatunasajilihiimisimamokwajina la ummawakiislamubaraniAfrika: a) WitowakuelimishawatukuhusumaswalayaPalestinakwaujumlanaMsikitiwa Aqsa kwamahsusikupitiamasomoyashulenekatikaviwangovyotevyamasomonakupitiavyombovyahabaritofautiilikwaelimishawaislamubaraniAfrikakwaswalahili. b) Kuungananawalisimamakidetiwaumekwa wake katikaMsikitiwa Aqsa kwajuhudizaozakuulindautukufuwaMsikitihuo- kulinganauwezowako- nakuwajulishaWaislamumipangilioyakijinaidhidiyaMsikitihuo. c) Kuzungumziamaudhuiya Aqsa naPalestinakatikahutubazaIjumaabaraniAfrikakatikamajumamatatuilikuwaelimishawatuwotesalahilinakufanyaduanakusomaqunutiliMsikitierejishwekatikamiknoyawaislamu. d) Mwitokwaserekalizanchizakiislamu, nchinamashirikayanaonusuriwaliodhulimiwailiwafanyewajibuwaowakidiniwakibinadamukatikaswalahilikwaajiliyauadilifu… Read more »
أهلاً بالعالم !
مرحبا بك في مواقع اتحاد علماء إفريقيا. هذه مقالتك الأولى. حرّرها أو احذفها، ثم ابدأ في التدوين!